Showing posts with label Matokeo ya Mitihani Ya Mikanda Mweusi. Show all posts
Showing posts with label Matokeo ya Mitihani Ya Mikanda Mweusi. Show all posts

Sunday, February 7, 2016

Wadau wa tovuti hii ya SKITA mniwieradhi kwa kuchelewa kuwafikishia habari/tukio muhimu kama hili, nilibanwa tu kidogo, nitajitahidi isijitokeze tena. Endelea kupitia blog yetu na kuacha maoni au kutoa mawazo na changamoto. Pia hata kuanzisha mijadala au kuleta mijadala ya kujadili..
OSSSSSSSS
Muda wa kupumzika baada ya kazi nzito







Wanawake/Wasichana Na Karate

Latifa Alberto ndio msichana pekee alikuwa katika mitihani ya madaraja ya mkanda mweusi. Akifanya mtihani wake wa Shodan (Daraja La Kwanza L a Mkanda Mweusi) na kufanya vizuri kabisa kati ya wenzake wa daraja hilo, anajiunga na wasichana/wanawake wachache sana Tanzania walioweza kufika daraja hilo kwa uwezo wao wa kweli.
Kwa kufanya vizuri hivyo na kwakuwa msichana/mwanamke pekee katika mitihani hiyo Shihan Dr. P. Chikoko alimzawadia mkanda mweusi mpya kabisa kama zawadi na motisha ya yeye kuendelea kufanya vizuri na kutokukata tamaa kwa vikwazo vichache anavyokutana navyo katika sanaa au nje ya sanaa vikihusisha sanaa
Pia ikumbukwe kuwa Latifa Alberto Ndie mwalimu anaefundisha karate shule ya Sekondari ya wasichana Feza (Feza Girls Kawe)

Akivua Mkanda wake wa zamani Wa Kahawia (Brown Belt) kwa ajili ya mkanda wake mpya

akivalishwa mkanda wake mpya wa daraja lake jipya


akitoa shukran kwa Shihan Chikoko

Shodan/ 1 DAN

Watahiniwa waliofaulu na kukabidhiwa vyeti 1st Dan/Shodan (Daraja la Kwanza La Mkanda Mweusi)

Israel
Latifa Alberto Chuvaka
Ally Issa
Zakaria Mbarakani


Nidan/2 DAN

Watahiniwa waliofaulu na kukabidhiwa vyeti vyao
2rd Dan/Nidan (Daraja La Pili La Mkanda Mweusi)

Sensei Dickson Bususnzu

Deogratiuos

Sensei Joseph F. Magnifico

Sensei Suleiman

Sensei Meshack Mbogo

Event Kazinga

Ngoleson Mziwanda

Charles Potea

Sandan/ 3 DAN

Waliofaulu na Kukabidhiwa vyeti vyao
3rddan/Sandan (Daraja La Tatu La Mkanda Mweusi)

Sensei Athuman Pandakilima

Sensei Suleiman Milanzi

Abdallah Bozi

Rustice Shayo


Yondan/ 4 DAN

Watahiniwa waliofaulu na Kukabidhiwa vyeti vyao
4th dan/Yondan (Daraja La Nne La Mkanda Mweusi)

Sensei Caecer Mwambani


Sensei Amos Lombo


Sensei Kudra Kilakale

Sensei Mohamed Mbalapi

Sensei Chikoko Agawa vyeti kwa watahiniwa waliofaulu mitihani

Wiki iliyopita (Jumapili 31/01/2016) chini ya mkufunzi mkuu wa SKIF Tanzania (SKITA), Tanzania Self-Defense Insitution (TSDI-Shotokan) na Tanzania Karate Federation (TKF-Shotokan); Shihan Dr. Philip Chikoko (4th Dan SKIF, 6th dan TKF & TSDI) alitangaza matokeo ya mitihani ya madaraja ya mkanda mweusi iliyofanyika tarehe 10/01/2016 na kugawa vyeti kwa waliofaulu.
Pichani ni watahiniwa walio faulu na kukabidhiwa vyeti vyao

ni wa tahiniwa wote kwa ujumla katika madaraja tofauti tofauti kuanznia Shodan mpaka Yondan
Wachache kati ya wengi waliofanya mtihani hawakuwepo kwa sababu mbali mbali..