Showing posts with label Semina kwa ajili ya mashindano. Show all posts
Showing posts with label Semina kwa ajili ya mashindano. Show all posts

Tuesday, December 8, 2015

Semina ya mashindano Sensei CHIKOKO (ilifanyika jumapili 6/12/2015)

Semina elekezi ikiendeshwa na mkufunzi mkuu wa karate Tanzania (SKITA) Sensei P. Chikoko, kwa ajili ya mashindano ya karate yatakayofanyika mwezi desemba