Friday, September 11, 2015

Semina: Sheria na Maamuzi kwenye mashindano

Kesho siku ya Jumamosi tarehe 12 September 2015 Kutakuwa na Semina kwa ajili ya kujua sheria na maamuzi katika mashindano ya karate
Pia ni sehemu ya maandalizi ya mashindano ya karate (SKITA) ambayo yamesogezwa mbele, yatafanyika tarehe 26 September 2015.

Taarifa kutoka
Katibu mkuu SKITA. Oss

No comments: