Sunday, January 10, 2016

Mitihani imefanyika na imeendeshwa vizuri

Ile mitihani iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu jana (10/01/2016) imefanyika chini ya mkufunzi mkuu wa karate Tanzania Sensei Dr. P. Chikoko (SKITA). Mitihani hiyo ilihusisha watahiniwa wanaoenda daraja la kwanza la mkanda mweusi (1 dan) mpaka wanaoenda daraja la nne (4 dan) ni ya kimataifa chini ya Tanzania Self-Defense Institution (TSDI-Shotokan)
Oss

1 comment:

Simon said...

Hi, nifanyaje kujiunga pia?