Wiki iliyopita (Jumapili 31/01/2016) chini ya mkufunzi mkuu wa
SKIF Tanzania (SKITA), Tanzania Self-Defense Insitution (TSDI-Shotokan) na Tanzania Karate Federation (TKF-Shotokan);
Shihan Dr. Philip Chikoko (4
th Dan SKIF, 6
th dan TKF & TSDI) alitangaza matokeo ya mitihani ya madaraja ya mkanda mweusi iliyofanyika tarehe 10/01/2016 na kugawa vyeti kwa waliofaulu.
|
Pichani ni watahiniwa walio faulu na kukabidhiwa vyeti vyao
|
|
ni wa tahiniwa wote kwa ujumla katika madaraja tofauti tofauti kuanznia Shodan mpaka Yondan |
Wachache kati ya wengi waliofanya mtihani hawakuwepo kwa sababu mbali mbali..
No comments:
Post a Comment