Sunday, March 6, 2016

Semina kwa ajili ya mashindano kwa waamuzi na wachezaji

Mwendelezo wa semina hii ni wiki ijayo. Chini ya mkufunzi mkuu wa karate Tanzania Dr. Philip Chikoko, atafundisha mambo mengi ya msingi mwanaSKITA usikose
Kawe CCM
Jumapili 13/03/2016 Saa 4 asubuhi

No comments: