Showing posts with label Dan examination preparation. Show all posts
Showing posts with label Dan examination preparation. Show all posts

Sunday, January 3, 2016

Maandalizi ya mitihani inaendelea (leo ilikuwa hivi kawe ccm)

Leo chini ya mkufunzi wa karate (SKITA) P. Chikoko Sensei, maandalizi ya mitihani ya madaraja ya mkanda mweusi (shodan, nidan, sandan na yondan) yaliendelea 
Alichambua kumite (jiyu ippon kumite) kuelekeza usahihi na kuchambua kiundani mbinu moja moja
Jiyu ippon kumite pande zote mbili
Jodan oi tsuki; namba 1, 2, 3 na 4
Chudan oi tsuki; namba 1, 2, na 4
Yoko geri; namba 1 na 2
Mawashi geri; namba 1 na 2
Ushiro geri; namba 1 na 2
Kizami tsuki; namba 1 na 2
Gyaku tsuki; namba 1 na 2

Pia kata kwa kinyume mzunguko wa mbele, kwa ajili ya changamoto ya ubongo.
Oss

Saturday, January 2, 2016

Maandalizi kwa ajili ya mitihani ya dan yanaendelea (leo Kawe ccm)

Maandalizi ya wafanya mitihani ya dan, Brown belts and black belts. Yataendelea leo hii (3rd January 2016) saa 8 mchana, kawe ukumbi wa ccm. Chini ya mkufunzi mkuu wa karate ya kimataifa Tanzania (SKITA) Sensei Dr. P. Chikoko

Friday, January 1, 2016