Wednesday, March 23, 2016

Mitihani ya mikanda ya kyu

Mitihani ya mikanda ya karate ya kyu (mkanda mweupe hadi mkanda wa kahawia) iliyofanyika tarehe 20/03/2016 ilienda vizuri chini ya mkufunzi mkuu wa karate Tanzania (SKIF 4th Dan, TKF 6th Dan), Shihan Dr. P. Chikoko.
Na matokeo yalitangwazwa siku hiyo hiyo, Shihan mwenyewe ndio aliyo yatangaza na kuwatambua waliofanya vizuri zaidi kimakundi na mtu mmoja mmoja








No comments: