Monday, December 12, 2016
Wednesday, December 7, 2016
Mitihani ya Kyu KARATE TANZANIA SKI
Oss!
Mitihani ya madaraja ya kyu itafanyika siku ya Jumapili Tarehe 11/12/2016, Kuanzia Saa Nne (04:00 asubuhi), Hombu Dojo Kawe.
Ili Kuondoa Usumbufu Wa Malipo Yote Yalipwe Sasa Kabla Ya Tarehe Tajwa, kwa mifumo ya kibenki kwa akaunti ya SKITA, au simubenki Kupitia waalimu (sensei) wa madarasa (dojo) husika au Muone Katibu Mkuu Kabla Ya Tarehe Tajwa, Vinginevyo Hakuna Malipo Yatakayopokelewa Siku Ya Mitihani!
Na hivyo kumnyima sifa mtahiniwa (karate-ka)
Oss.
Mkurugenzi wa Habari, Mawasiliano, Mahusiano na Uwenezi SKITA
+255 716 823 404
Thursday, December 1, 2016
TAARIFA KWA WANASKITA/Karate-ka (Mitihani ya madaraja ya kyu)
Oss!
Mitihani ya madaraja ya kyu itafanyika siku ya Jumapili Tarehe 11/12/2016, Kuanzia Saa Nne (04:00 asubuhi), Hombu Dojo Kawe.
Ili Kuondoa Usumbufu Wa Malipo Yote Yalipwe Sasa Kabla Ya Tarehe Tajwa, kwa mifumo ya kibenki kwa akaunti ya SKITA, au simubenki Kupitia waalimu (sensei) wa madarasa (dojo) husika au Muone Katibu Mkuu Kabla Ya Tarehe Tajwa, Vinginevyo Hakuna Malipo Yatakayopokelewa Siku Ya Mitihani!
Na hivyo kumnyima sifa mtahiniwa (karate-ka)
Oss.
Mkurugenzi wa Habari, Mawasiliano, Mahusiano na Uwenezi SKITA
+255 716 823 404
Wednesday, March 23, 2016
Mitihani wa mikanda ya Kyu
![]() |
hahahahaha waliofanya vizuri kwa ufaulu wa juu kabisa ni karateka wa mkanda mweupe........... |
![]() |
wakiwa Pamoja na Shihan Dr. P. Chikoko (Katikati) na katibu wa SKITA (Kushoto) |
Mitihani ya Mikanda ya kyu
![]() |
wakiwa na mkufunzi mkuu wa karate Tanzania Shihan Dr. P. Chikoko (katikati) pamoja na Katibu mkuu wa chama cha karate Tanzania SKIF Sensei Kudra (kushoto) |
Mitihani ya mikanda ya kyu
Na matokeo yalitangwazwa siku hiyo hiyo, Shihan mwenyewe ndio aliyo yatangaza na kuwatambua waliofanya vizuri zaidi kimakundi na mtu mmoja mmoja
Saturday, March 19, 2016
Mitihani ya mikanda ya Kyu
Mitihani ya karate ya mikanda ya kyu (mkanda mweupe hadi kahawia) itafanyika kesho siku ya jumapili saa 04:00 asubuhi...
Mitahani itafanyika honbu dojo kawe ccm SKI Tanzania karate
Watahiniwa zingatia muda na vigezo
Oss