Thursday, December 1, 2016

TAARIFA KWA WANASKITA/Karate-ka (Mitihani ya madaraja ya kyu)

Oss!

Mitihani ya madaraja ya kyu itafanyika siku ya Jumapili Tarehe 11/12/2016, Kuanzia Saa Nne (04:00 asubuhi), Hombu Dojo Kawe.

Ili Kuondoa Usumbufu Wa Malipo Yote Yalipwe Sasa Kabla Ya Tarehe Tajwa, kwa mifumo ya kibenki kwa akaunti ya SKITA, au simubenki Kupitia waalimu (sensei) wa madarasa (dojo) husika au Muone Katibu Mkuu Kabla Ya Tarehe Tajwa, Vinginevyo Hakuna Malipo Yatakayopokelewa Siku Ya Mitihani!
Na hivyo kumnyima sifa mtahiniwa (karate-ka)
Oss.

Mkurugenzi wa Habari, Mawasiliano, Mahusiano na Uwenezi SKITA
+255 716 823 404