Thursday, December 1, 2016

Karate workshop

Oss!
Salaam!
TAARIFA KWA WANA-SKITA:
Karate Workshop
Jumapili Tarehe 4/12/2016, Saa Nne Asubuhi Mpaka Saa Sita Mchana, Pale Hombu Dojo Kawe Kutakuwa Na Workshop Ya YAKUSOKU KUMITE, chini ya mkufunzi wa karate Tanzania SKI Phillip Chikoko Sensei. Walengwa Ni Mikanda ya Kyu Wote.
Gharama ni 1500/= kwa kila mwanachama mshiriki.
Oss.

Mawasiliano:
+255 716 823 404
Mkurugenzi wa Habari, Mawasiliano, Mahusiano na Uwenezi SKITA

No comments: