Oss!
Salaam!
Tarehe 27/11/2016 Siku Ya Jumapili Pale Kawe Hombu Dojo, Mida Ya Kuanzia Saa Nne Na Nusu (10:30 Am) Asubuhi Mpaka Saa Saba Na Nusu (13:30) Mchana. Kutakuwa Na Clinic Maalum Ya Mafunzo Ya Kata Mbalimbali, Na Mafunzo Hayo Yataendeshwa Na Mkufunzi Mkuu Na Mahiri, Dr. Phillip Chikoko " Shihan"
Walengwa Ni Brown Belts Pamoja Na Wengine Waliyo Chini Ya Ngazi Hiyo.
Ada Ya Clinic Hii Ni Tsh. 1,500/= Kwa Kila Mhudhuliaji Mwanachama.
Tafadhali Mjuze Na Mwingine Juu Ya Ujumbe Huu!
Oss.
Mawasiliano:
+255 716 823 404
Mwenyekiti wa Habari, Mawasiliano, Mahusiano na Uwenezi SKITA
No comments:
Post a Comment