Phillip Chikoko Sensei, mkufunzi mkuu na mtaalam wa karate Tanzania SKI akieleze na kufundisha kwa vitendo usahihi wa seiza, kama anavyoonekana kwenye picha akionyesha na kuonyesha kwa vitendo na pia kukagua
Showing posts with label Clinic Training. Show all posts
Showing posts with label Clinic Training. Show all posts
Sunday, December 4, 2016
Thursday, November 24, 2016
Clinic Ya Mafunzo Maalumu Kwa Madaraja Ya Brown Belt na Chini Yake
Oss!
Salaam!
Tarehe 27/11/2016 Siku Ya Jumapili Pale Kawe Hombu Dojo, Mida Ya Kuanzia Saa Nne Na Nusu (10:30 Am) Asubuhi Mpaka Saa Saba Na Nusu (13:30) Mchana. Kutakuwa Na Clinic Maalum Ya Mafunzo Ya Kata Mbalimbali, Na Mafunzo Hayo Yataendeshwa Na Mkufunzi Mkuu Na Mahiri, Dr. Phillip Chikoko " Shihan"
Walengwa Ni Brown Belts Pamoja Na Wengine Waliyo Chini Ya Ngazi Hiyo.
Ada Ya Clinic Hii Ni Tsh. 1,500/= Kwa Kila Mhudhuliaji Mwanachama.
Tafadhali Mjuze Na Mwingine Juu Ya Ujumbe Huu!
Oss.
Mawasiliano:
+255 716 823 404
Mwenyekiti wa Habari, Mawasiliano, Mahusiano na Uwenezi SKITA
Subscribe to:
Posts (Atom)